MASWALI YALIYOWAKIMBIZA WATANGAZA NIA URAIS NDANI YA CCM YAWEKWA HADHARANI Edward Lowassa ni mmoja wa wagombea urais kupitia CCM. Dar es Salaam. Siku moja baada ya kuahirishwa kwa mdahalo wa waliotangaza nia katika nafasi ya urais CCM, imebainika kuwa viongozi hao wangepaswa kujibu maswali magumu manane yanayohusu uchumi, utawala bora na utawala wa sheria. Hata hivyo mgombea Balozi Amina Salum Ali pekee ndiye aliyejitokeza. Baadhi ya wagombea waliokuwa wametajwa kuhudhuria mdahalo huo wa moja kwa moja kupitia televisheni ni Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba, Naibu Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, January Makamba, Waziri Mkuu mstaafu, Fredrick Sumaye na Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu na Waziri wa Uchukuzi, Samuel Sitta. Akizungumzia utaratibu wa mdahalo huo ulioandaliwa na Umoja wa Maofisa Watendaji Wakuu wa Kampuni Binafsi nchini ( CEOrt), Mwenyekiti wake Ali Mufuruki alisema, kila mtangaza nia alitakiwa ...
Posts
Showing posts from June 10, 2015
- Get link
- X
- Other Apps
Madhara ya kuvuta sigara Mwili wa mvutaji sigara ulivyo adhiriwa. Kila sekunde nane, mtu mmoja hufariki kutokana na utumizi wa tumbako . Imebainika kuwa saba kati ya wavutaji sigara kumi, huanza uraibu huu wakiwa wangali watoto. Wanaoendelea kuvuta sigara kwa muda mrefu hufupisha maisha yao kwa miaka 20 hadi 25. Sababu ni kuwa sigara ina kemikali zaidi ya 4,000 ambazo zina uwezo wa kudhhuru afya ya binadamu. Madhara yanayosababishwa na uvutaji sigara ni mengi na yamesambaa mwilini kote. Yafuatayo ni baadhi tu ya maradhi yatokanayo na utumiaji wa tumbako. Yaliyomo [ ficha ] 1 1.Kung’oka kwa nywele 2 2.Magonjwa ya macho 3 3.Kukunjana kwa ngozi 4 4.Magonjwa ya masikio 5 5.Saratani ya ngozi 6 6.Magonjwa ya meno 7 7.Magonjwa ya mapafu 8 8.Mifupa 9 9.Ugonjwa wa moyo 10 10.Vidonda vya tumboni 11 11.Vidole 12 12.Wanawake 13 13.Wana...
- Get link
- X
- Other Apps
Kwa wale ambao walikuwa hawaifahamu karafuu ndo hii hapa Namna karafuu inavyokaa kwenye mmea wake. K arafuu ni tumba lililokauka la maua yasiyofunguka yanayopatikana kutoka mti mzuri wa kati na kijani. Mti huu una shina lilinyooka na hukua kufikia kimo cha mita 10 hadi 12. Karafuu imekuwa ikitumiwa India na Uchina kwa zaidi ya kwa zaidi ya miaka 2000 kama kiungo cha kulinda kuoza meno na kutoa harufu mbaya yaaani pumzi mbaya. Mti wa karafuu una asili ya visiwa vya Molluca. Wachina walipata kiungo hiki mnamo karne ya 3 K.K (Kabla ya Kuzaliwa Kristo). Karafuu ziliingizwa Alexandria mapema mwaka 176 B.K (Baada ya Kuzaliwa Kristo). Mnamo karne ya 4 hivi B.K ulijulikana vema katika meditarrania na katika karne ya 8 ulaya nzima. Inasemekana huko visiwa vya pemba na unguja (Zanzibar) karafuu ililetwa na sultani mmoja ikiwa imewekwa kwenye fimbo ya mwanzi leo hii Zanzibar ndio mzalishaji anayeongoza kwa kuzalisha karafuu nyingi ulimwenguni. Sifa ilizonazo karafuu ni wang...
- Get link
- X
- Other Apps
JE? UNAFAFAHAMU FAIDA YA MAFUTA YA UBUYU KWA NGOZI YAKO. Mafuta ya ubuyu yamefanyiwa uchunguzi kwa muda mrefu na watafiti mbalimbali na kugundua kuwa mafuta ya ubuyu yana vitamini nyingi zinzoitajika katika kuirutubisha ngozi.wanawake wengi wa ulaya na afrika wamebadilisha mtindo wa maisha na kuanza kutumia bidhaa asilia kama mafuta ya ubuyu ambayo pia ni dawa ya jenga ngozi iliyoharibika mikorogo na vipodozi vyenye kemikali kali.pian uondoa harara,chunusi na fangasi usoni na mwilini lwa ujumla.Pia mafuta haya yanauwezo mkubwa wa kuikinga ngozi dhidi ya miale ya jua hata alibino wa jinsia yoyote wanashauriwa kutumia mafuta haya kulinda ngozi zao.Siku za hivi karibuni kumekuwepo na muamko mkubwa kwa wanawake wa afrika kutumia mafuta ya ubuyu baada ya kufahamu faida yake.Matumizi ya mafuta haya ni kwa kupakaa mwilini bila kujali muda kutegemea na muhusika au mtumiaji .
- Get link
- X
- Other Apps
faida ya ubuyu kwa mwili wa binadamu. Muonekano wa ubuyu uliopo kwenye kasha lake na vipeke vilivyotolewa unga wake. Inaaminika na baadhi ya watu kuwa ubuyu ni tunda lisilokuwa na thamani sana, kwani hata mtu akiwa anafanya biashara ya kuuza ubuyu hudharaulika, pengine ni kutokana na watoto na watu wa hali ya chini kupenda kutumia. Lakini habari za hivi karibuni zinatoa taswira tofauti kuhusu tunda hili. Taswira hii inaweza kabisa kubadilisha mtazamo wa baadhi ya watu waliokua wakilidharau tunda hili. Hivi karibuni Jumuiya ya Ulaya (EU) imeidhinisha kuingizwa kwa tunda hili barani humo kama tunda la kibiashara baada ya kampuni ya PhytoTrade Africa kupewa kibali cha kuingiza tunda hilo kutoka Afrika. Kampuni hiyo hivi sasa imeruhusiwa kuingiza ubuyu katika bara hilo na kutumiwa na wananchi wake kwa matumizi mbalimbali ikiwemo kuchanganya na vyakula mbalimbali vya nafaka ili kuongeza virutubisho. Kwa mujibu wa utafiti wa kisayansi, Ubuyu una kiwango kikubwa cha Vitamin C ...
- Get link
- X
- Other Apps
Muonekano wa ubuyu unaofaa kutengeneza juisi ya ubuyu. Maajabu ya juisi ya Ubuyu Unga wa ubuyu unaelezwa kuwa na vitamini na madini mengi kuliko matunda mengine yoyote unayoyajuwa. 1. Inaelezwa kuwa unga wa ubuyu una vitamini C nyingi mara 6 zaidi ya ile inayopatikana katika machungwa. 2. Ubuyu una kiwango kingi cha madini ya Kashiamu (Calcium) mara 2 zaidi ya maziwa ya ng’ombe, pia madini mengine yapatikanayo katika ubuyu ni pamoja na madini ya Chuma, Magnesiamu na Potasiamu ambayo ni mara 6 zaidi ya ile potasiamu ipatikanayo katika ndizi! 3. Husaidia kujenga neva za fahamu mwilini 4. Ina virutubisho vya kulinda mwili 5. Ubuyu una vitamini B3 na B2 ambayo ni mhimu katika kuondoa sumu mwilini na umeng’enyaji wa madini ya chuma, kimsingi vyakula vyenye afya zaidi kwa ajili ya mwili ya binadamu huwa pia huwa na vitamin B2. 6. Unaongeza kinga ya mwili sababu ya kuwa na kiasi kingi cha vitamini C 7. Huongeza nuru ya macho 8. ...