Wachezaji wa soka waliohama Ulaya - Agosti 2017
Kipindi cha kuhama wachezaji majira ya joto kilianza tarehe 1 Julai na kilifikia kikomo saa moja usiku wa kuamkia leo. Wachezaji ambao hawana mikataba watakuwa na fursa ya kujiunga na klabu nyingine hata baada ya soko kufungwa. Hapa chini tuna orodha ya wachezaji waliohama katika mwezi wa Agosti, ikiwa ni pamoja na waliothibitishwa kuhama siku ya mwisho. 1 Septemba Ligi ya Premia 04:00 - Mamadou Sakho [Liverpool - Crystal Palace] £26m 03:30 - Danny Drinkwater [Leicester - Chelsea] £35m 01:25 - Wilfried Bony [Man City - Swansea] Haijafichuliwa (inakadiriwa kuwa £12m) 01:18 - Davide Zappacosta [Torino - Chelsea] Haijafichuliwa 01:15 - Fernando Llorente [Swansea - Tottenham] Haijafichuliwa (inakadiriwa kuwa £15m) 00:56 - Tim Krul [Newcastle - Brighton] Mkopo 00:45 - Aleksandar Dragovic [Bayer Leverkusen - Leicester] Mkopo Ligi za Soka za England na Wales (Championship, League One na League Two) 02:20 - Dave Tarpey [Maidenhead - Barnet] Haijafichu...