Posts

Showing posts from September 2, 2013

vijue vivutio vya mkoa wa iringa

Image
 vyura waajabu wanaopatikana kwenye bwawa la mtera iringa.   fuvu la mkwawa lililopo mkoani iringa katika sehemu moja ya kihistoria iitwayo KARENGA.   pia kunasehemu kama isimila ambako kuna miamba mizuri na mikubwa yenye kuvutia.   iringa isimila.   maporomoko ya maji kimani mkoani iringa.    iringa mufindi kwenye misitu mikubwa ya mbao.   hii ni sehemu ambako segimba na mamayake na mkwawa walijitumbukiza wakati wa ukoloni. 

ijue iringa

Image
 iringa posta   iringa mjini yenye kuvutia    kijani chenye kuvutia ukiutizama mkoa wa iringa unapendeza.   kuna mambo mengi yanautangaza mkoa wa iringa likiwemo jiwe kuuuuubwa sana ambalo ukiwa kileleni unauona mkoa mzima wa iringa.JIWE GANGILONGA.   moja kati ya makanisa ya kikoloni likiwa linaonekana kwa mbaaali.kanisa la konsolatha iringa mjini.   soko kuu la mkoa wa iringa.   mtemi wa kabira la wahehe MKWAWA.