AJALI YA LORI LA MAFUTA DAR YASABABISHA KUTEKETEA KWA MALI NYINGI ZA WATU NA WENGINE KUPOTEZA MAISHA.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki (katikati) na Mkuu
wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema wakimsikiliza miliki wa Nyumba ya
kulala wageni United State na bar, Laurent Kasiga iliyopo Mbagala Rangi
tatu, Dar es Salaam ambayo iliteketea kwa moto uliotokana na roli la
mafuta lililopinduka na kuwaka moto wakati vijana wakiiba mafuta.
Mkuu wa Moa akikagua Nyumba hiyo ya kulala wageni iliyokuwa na vyumba 32 na sehemu ya vinywaji.(bar).
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiangalia mabaki ya tenki la lori la mauta lililosababisha moto huo.
Lori hilo lilivyoteketea kwa moto uliosababishwa na moja kati ya wananchi waliokuwa wakichukua mafuta ambaye alifaliki baada ya moto huo kumzingila.
Moja kati ya duka la vifaa vya pikipiki lililo teketea kwa moto.
Wahanga wa jana hili la moto waliokuwa wakifanya biashara ya mchere wakiwa katika hali ya huzuni.. |
Mkuu wa mkoa akikagua mabaki ya vitu vilivyo salia kwenye maduka yaliyo ungua. |
Comments
Post a Comment