Comment ya Bilionea wa 20 Afrika kwenye post ya Alikiba

Staa wa Rock Star Alikiba ambaye anafanya vizuri kwenye game ya Bongofleva husani na video yake mpya ya ‘Seduce Me’ kwa kuweka rekodi ya kufikisha zaidi ya views milioni mbili YouTube ndani ya siku tatu, anazidi kupokea pongezi kutoka kwa watu mbalimbali.

Alikiba
Alikiba ambaye video ya wimbo wake wa ‘Seduce Me’ inafanya vizuri kwa sasa amepata pongezi kutoka kwa mfanyabiashara na bilionea wa 20 Afrika kwa mujibu wa mtandao wa www.forbes.com Mohamed Dewji kupitia ukurasa wake wa instagram.

Mohamed Dewji
MO Dewji amecomment katika post ya Alikiba ya kushukuru mashabiki na watu mbalimbali ambao wamesapoti video yake kufikisha views milioni mbili ndani ya siku tatu katika mtandao wa YouTube.

Comments

Popular posts from this blog

GOR MAHIA MABINGWA WA SPORTPESA SUPER CUP 2017, SASA KUKIPIGA NA EVERTON JULAI 13

Marekani na Korea Kusini wafanya mazoezi ya pamoja ya jeshi

UKWELI KUHUSU MZEE MAJUTO, NA TETESI ZA KUFA