hifadhi nzuuuri ya wanyama iliyopo mkoa wa iringa ya RUAHA NATIONAL PARK.
Ni aina ya myama anae patikana kwenye hifadhi ya taifa iliyo mkoa wa iringa ya RUAHA. Pundamilia ni wanyama wenye kuvutia kuanzia rangi yake na umbo lake,mnyama huyu hufananishwa na farasi lakini tofauti yake huyu anamistari mwilini mwake. TWIGA ni mnyama anaepatikana kwenye hifadhi ya ruaha,mnyama huyu anaheshimiwa sana kutokana na uhadimu wake na kwasababu ya kuvutia sana watarihi kutokana na umbo lake lenye shinga ndefu. PUNDAMILIA.
Mijusi ya ajabu na rangi tofauti.
kenge wakubwa wenye maumbo kama ya mamba wanapatikana iringa. NYUMBU ni wanyama wanaopenda kutembe kwa makundi makubwa sana,na pindi wanapo safiri hutembea kwa kujipanga mistari. SIMBA ni mnyama anae ogopeka na baadhi ya wanyama msituni,kwasababu chakula chake kikubwa ni nyama,sababu iliyowafanya wanyama wenyine kuwaogopa simba. TEMBO ni myama mwenye umbo k...