ijue iringa



iringa posta






iringa mjini yenye kuvutia 






kijani chenye kuvutia ukiutizama mkoa wa iringa unapendeza.






kuna mambo mengi yanautangaza mkoa wa iringa likiwemo jiwe kuuuuubwa sana ambalo ukiwa kileleni unauona mkoa mzima wa iringa.JIWE GANGILONGA.






moja kati ya makanisa ya kikoloni likiwa linaonekana kwa mbaaali.kanisa la konsolatha iringa mjini.






soko kuu la mkoa wa iringa.



mtemi wa kabira la wahehe MKWAWA.



Comments

Popular posts from this blog

GOR MAHIA MABINGWA WA SPORTPESA SUPER CUP 2017, SASA KUKIPIGA NA EVERTON JULAI 13

Marekani na Korea Kusini wafanya mazoezi ya pamoja ya jeshi

UKWELI KUHUSU MZEE MAJUTO, NA TETESI ZA KUFA