vijue vivutio vya mkoa wa iringa



vyura waajabu wanaopatikana kwenye bwawa la mtera iringa.






fuvu la mkwawa lililopo mkoani iringa katika sehemu moja ya kihistoria iitwayo KARENGA.






pia kunasehemu kama isimila ambako kuna miamba mizuri na mikubwa yenye kuvutia.






iringa isimila.






maporomoko ya maji kimani mkoani iringa. 






iringa mufindi kwenye misitu mikubwa ya mbao.






hii ni sehemu ambako segimba na mamayake na mkwawa walijitumbukiza wakati wa ukoloni.



Comments

Popular posts from this blog

GOR MAHIA MABINGWA WA SPORTPESA SUPER CUP 2017, SASA KUKIPIGA NA EVERTON JULAI 13

Marekani na Korea Kusini wafanya mazoezi ya pamoja ya jeshi

UKWELI KUHUSU MZEE MAJUTO, NA TETESI ZA KUFA