BAMIA INAWEZA KUTIBU TATIZO LA KISUKARI
Wanasayansi nchini Marekani wamegundua
kuwa Bamia ina
virutibisho vinavyo weza
kumsaidia mtu mwenye tatizo
la Sukari.
JINSI YA KUTUMIA :
Chukua bamia zako
kisha kata vichwa
vyake , halafu ziloweke
bamia kwenye kikombe
cha maji kwa
usiku mzima kisha
zitoe bamia halafu
kunywa maji yako.
Fanya hivyo kwa
muda wa siku
ishirini na moja
na kwa uwezo
wa Mungu, tatizo
la sukari litakwisha.
Tiba hii imewasaidia
watu wengi walio itumia.
Itumie na wewe
uone itakusaidia kwa
kiwango gani.
Comments
Post a Comment