Kutoka Dodoma Rais Mpya wa TFF ametangazwa rasmi


Kutoka mjini Dodoma katika ukumbi wa St Gasper ulipofanyika mkutano mkuu wa shirikisho la soka Tanzania TFF, mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi Revocatus Kuuli ametangazwa matokeo ya uchaguzi Mkuu wa TFF kwa wajumbe, makamu na Rais wa TFF.
Aliyekuwa makamu wa Rais na kaimu wa Rais wa TFF Wallace Karia ametangazwa rasmi kuwa Rais mpya wa TFFkwa kupata jumla ya kura 95 na kuwashida Ally MayayEmmanuel KimbeShija RichardIman Madega na Fredrick Mwakalebela.



Kutoka kulia ni Wallace Karia akiteta jambo baada ya kutangazwa mshindi wa Urais wa TFF
Kwa ushindi huo sasa rasmi Wallace Karia atatawala nafasi ya Rais wa TFF hadi 2021 makamu wake akiwa ni Michael Richard Wambura aliyewashinda wagombea wenzake wengine watano.
Kama ulipitwa na sera za Wallace Karia wakati wa kampeni zake

Comments

Popular posts from this blog

Jifunze Jinsi ya kutengeneza sabuni ya Unga na ya maji

Mkataba wa Aishi Manura wavuja ukionyesha kujiunga na simba Simba

Antoine Griezmann: Nyota wa Atletico Madrid aomba radhi baada ya kujifanya mweusi