Uchaguzi Kenya 2017: Hali baada ya Kenyatta kutangazwa mshind

       Rais Kenyatta alitangazwa mshindi wa urais Ijumaa usiku baada ya kupata kura 8, 203, 290 sawa na       asilimia 54.2 zilizopigwa
  1. Mgombea wa upinzani Raila Odinga alipata kura 6,762,224 sawa na asilimia 44.7
  2. Baada ya matangazo, visa vya maandamano viliripotiwa katika baadhi ya maeneo ambayo ni ngome ya upinzani, mfano Kisumu, Homa Bay na Migori magharibi mwa nchi hiyo
  3. Kulitokea pia visa vya maandamano na polisi kufyatua gesi ya kutoza machozi katika baadhi ya mitaa jijini Nairobi
    

Hali ya kawaida yarejea Garissa


Hali ya kawaida imeanza kurejea mjini Garissa siku moja baada ya matokeo ya uchaguzi wa urais kutangazwa.
Sehemu ya soko kuu mjini humo iliteketezwa Jumatano wakati wa ghasia kati ya wafuasi wa wagombea wawili wa ugavana. Lakini jana na leo hali imekuwa tulivu.
Mwandishi wetu Bashkas Jugsodaay amepiga picha hizi za wananchi wakiendelea na shughuli zao za kawaida leo asubuhi.

Rukwama
Kununua mboga



Comments

Popular posts from this blog

Jifunze Jinsi ya kutengeneza sabuni ya Unga na ya maji

Jinsi ya kutengeneza SABUNI ya kipande YA KUGANDISHA

Alexander Lacazette Shujaa wa Arsenal