La Liga yaishitaki Ma city, matumizi makubwa ya fedha

Man City imekuwa na mabadiliko makubwa tokea kuchukuliwa na wamiliki wa Abu Dhabi mwaka 2008

Image captionMan City imekuwa na mabadiliko makubwa tokea kuchukuliwa na wamiliki wa Abu Dhabi mwaka 2008

Shirikisho la soka nchini Hispania (La Liga) limeliandikia barua shirikisho la soka barani Ulaya (UEFA) wakitoa malalamiko kuhusu ukiukwaji wa sheria za matumizi Financia Fair Play (FFP) unaofanywa na klabu ya Man City.
Raisi wa La Liga Javier Tebas alitoa malalamimo kuhusu wamiliki wa klabu ya Manchester City ambao pia ni wamiliki wa klabu ya PSG kutokana na matumizi makubwa ya kifedha wanayoyafanya.

Kuwasili kwa Neymar PSG kunatajwa pia kuwa sababu
Image captionKuwasili kwa Neymar PSG kunatajwa pia kuwa sababu

Lakini baadaye shirikisho la soka la UEFA lilitoa majibu kuhusiana na barua iliyoandikwa na Rais wa La Liga kwa kusema kwamba shirikisho hilo halitaichunguza klabu hiyo na taarifa nyingine kinyume na hapo ni uongo.

Comments

Popular posts from this blog

GOR MAHIA MABINGWA WA SPORTPESA SUPER CUP 2017, SASA KUKIPIGA NA EVERTON JULAI 13

Marekani na Korea Kusini wafanya mazoezi ya pamoja ya jeshi

UKWELI KUHUSU MZEE MAJUTO, NA TETESI ZA KUFA