Posts

Showing posts from November, 2014

mwanamke aishi na wanaume wawili kiunyumba miaka nane bila kutambuana.

Image
MWANAMKE AISHI KINYUMBA NA WANAUME WAWILI KWA MIAKA NANE BILA KUTAMBUANA MBEYA Juliana Josia(22)kushoto anaedaiwa kuishi na wanaume wanaume wawili kwa zaidi ya miaka 8 bila kutambuana akiwa na Mume wake halisi Rogers ofisini kwa mtendaji Juliana Josia(22)kushoto akiwa na barozi Dinde  Bwana Rogers akiongozana na baadhi ya viongozi wa mtaa kwenda kituo cha polisi Mwanamke mmoja aliyetambuliwa kwa jina la Juliana Josia(22)amezua utata hivi karibuni baada ya kugunduliwa akishi na wanaume wawili kwa muda wa miaka minane bila wanaume hao wawili  kujitambua. Hayo yalibainika katika kituo cha Polisi Kati Jijini Mbeya baada ya Mwanamke huyo kudai kuporwa mtoto mgogoni jinsi ya kike mwenye umri wa miaka miwili eneo la Mwanjelwa Jijini Mbeya baada ya kutishiwa na Biton Bomani Mwashilindi mkazi wa Ilemi Jijini Mbeya. Juliana alidai kuporwa mtoto na Biton Oktoba 27 mwaka huu majira ya saa nne asubuhi alipokuwa akielekea soko ...
Image
TAARIFA YA TUKIO LILILOTOKEA UBUNGO PLAZA KATIKA MKUTANO WA MWALIMU NYERERE FOUNDATION  Mkutano ulifanyika kuanzia saa 1520hrs ukiwa chini ya uenyekiti wa Jaji Mstaafu mh. Joseph Sinde Warioba. Mkutano ulihudhuriwa na watu wa kada mbalimbali sambamba na itikadi tofauti za kisiasa. Mkutano ulirushwa moja kwa moja na ITV na maudhui yake kimtazamo ulilenga kuoanisha mapendekezo ya marekebisho ya Katiba ya tume ya Warioba na ile ya Mh. Sitta na tume yake. Baada ya Mh. Warioba kuelezea kwamba Muungano sio tunu ila ni urithi ndipo wakereketwa wa upande wa Mh. Sitta walipoinua mabango yasemayo pamoja na mambo mengine kwamba iweje wajadili mapendekezo ya katiba ya Mh. Sitta ambayo wao wameshaikubali? Baada ya mabango yale kuinuliwa yakazua tafrani ambapo walishauriwa kutoyainua kwa sababu haukuwa mkutano wa kisiasa na wakanyang’anywa na kuyachana ndipo vurugu/kashfa/matusi yakaanza kutolewa dhidi ya meza kuu. Hali hii ilisababisha kushikana, kusukumana na kurushiana viti. Katika t...
Image
Chidi benzi asimulia story nzima jinsi ilivyokuwa hadi kukamatwa na dawa za kulevya Airport. Rashid Makwiro a.k.a Chidi Benz ambaye ameachiliwa kwa dhamana Jumatano wiki hii, amesimulia jinsi ilivyokuwa hadi kukamatwa Ijumaa iliyopita Oct.24 na dawa za kulevya kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa Julius Nyerere. Chidi alizungumza na Soudy Brown kupitia So So Fresh ya Clouds FM jana. “Sikuwaambia natumia, niliwaambia dawa ambazo nilikuwa niko nazo lazima nitakuwa nimeconfuse kipindi ambacho natumia nilikuwa ofcoz naweka weka naficha ficha kwenye nguo nguo zangu na nini, so nimewambia maybe kwasababu hiyo nguo sijawahi vaa ndio mara ya kwanza…huwa naweka mashati kadhaa nayatundika tu hivi yako kama kumi kumi na tano, huwa nikivaa najua hili nasafiri nalo au nazunguka tu leo round za town baadae nikilivua nalitupa tu si unajua sisi mara nyingi nguo ukivaa unakuwa unavaa mara moja labda hivyo. So nahisi lazima ile dawa nilikuwa nimeiweka labda niliiweka au nimeficha coz nilikuwa ...