Bangi yakamatwa bandari ya Mkoani
Madawa ya Kulevya yanayosadikiwa kuwa ni Bangi yaliokamatwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba katika Bandari ya Mkoani Kisiwani humo , na Abiria aliekuwemo katika Meli ya Azam 11, ikitokea Unguja hapo
jana.
Madawa ya kulevya yanayosadikiwa kuwa ni Bangi , ikimiminwa na Askari wa Jeshi la Polisi kwenye meza ya Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini ,Shekhan Moh'd Shekhan.
Mfuko ambao ulihifadhiwa Madawa hayo yanayosaidikiwa ni Bangi , ambayo yalikamatwa Mkoani Pemba , na Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba.
Comments
Post a Comment