Bondia Jake LaMotta afariki akiwa na miaka 95



LaMotta alikuwa mpiganaji na mchekeshaji


Image captionLaMotta alikuwa mpiganaji na mchekeshaji

Bondia wa zamani wa uzito wa kati na mchekeshaji Jake LaMotta,amefariki dunia akiwa na miaka 95.
Mke wake amesema LaMotta amefariki nyumbani kwake kwa ugonjwa wa homa ya mapafu.
Alikuwa mpiganaji maarufu zaidi miaka ya 40 na 50.

LaMotta enzi za upiganaji
Image captionLaMotta enzi za upiganaji

Atakumbukwa kwa uvaaji wa kaptula yenye mistari ya chuichui na wakati fulani alikua akiingiza uchekeshaji wakati akipigana jambo lililomfanya mpinzani wake kuishia kucheka na yeye kushinda.

Comments

Popular posts from this blog

Jifunze Jinsi ya kutengeneza sabuni ya Unga na ya maji

Mkataba wa Aishi Manura wavuja ukionyesha kujiunga na simba Simba

Antoine Griezmann: Nyota wa Atletico Madrid aomba radhi baada ya kujifanya mweusi