BREAKING: Mipango ya kumpeleka Tundu Lissu Marekani yasimamishwa
Kulikua na mipango ya kumpeleka Marekani Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu ambae amekua akitibiwa Nairobi Kenya kutokana na majeraha ya risasi alizopigwa Dodoma September 7 2017.
Mipango ya kumpeleka Marekani ilikua ni kwa ajili ya kumpatia matibabu bora zaidi chini ya Hospitali yenye uwezo mkubwa wa Madaktari na teknolojia lakini mipango hiyo imefutwa kwa sasa kutokana na ushauri wa Madaktari wa Hospitali alikolazwa Kenya.
Bonyeza play hapa chini kupata undani wa hii taarifa……
Comments
Post a Comment