Korea Kaskazini yawekewa vikwazo vipya

Rais wa Korea Kaskazini Kim Jong-un akikagua kiwanda cha kutengeza makombora ya Nuklia


Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionRais wa Korea Kaskazini Kim Jong-un akikagua kiwanda cha kutengeza makombora ya Nuklia

Baraza la usalama la umoja wa mataifa limepiga kura kwa kauli moja kuiwekea vikwazo Korea Kaskazini kama adhabu ya kufanyia majaribio zana zake za nuklia.
Vikwazo hivyo vinalenga kuhujumu uwezo wa Pyongyang kufadhili na kutoa kawi kwa mpango wake wa nuklya.
Vikwazo hivyo vilevile vinatoa masharti kwa biashara ya kununua mafuta ya Korea Kaskazini mbali na kupiga marufuku uuzaji wa nguo katika mataifa ya kigeni.
Maamuzi hayo ya baraza la usalama la umoja wa mataifa yaliungwa mkono kwa wingi wa kura baada ya Marekani kuondoa mpango wake wa kutaka uungwaji mkono kutoka Urusi na China 
Korea Kusini inasema kuwa kwa kuhujumu amani Korea Ksakzini itaewekewa vikwazo zaidi vya kimataifa.
Balozo wa China katika Umoja wa kimataifa Liu Jieyi ameitaka Korea kaskazini kuchukua kwa muhimu mkubwa matarajio ya ya jamii ya kimataifa na kuharibu mpango wa

Comments

Popular posts from this blog

Jifunze Jinsi ya kutengeneza sabuni ya Unga na ya maji

Mkataba wa Aishi Manura wavuja ukionyesha kujiunga na simba Simba

Antoine Griezmann: Nyota wa Atletico Madrid aomba radhi baada ya kujifanya mweusi