Mitandao 7 ya dunia iliyoripoti tukio la Tundu Lissu kupigwa risasi
Jana September 7, 2017 Mbunge wa Singida Mashariki na Mwanasheria wa CHADEMA Tundu Lissu alipigwa risasi na watu wasiojulikana baada ya kushambulia gari lake akiwa nyumbani muda mfupi baada ya kumaliza shughuli za Bunge Dodoma.
Tukio hilo limegusa hisia za watu wengi huku vyombo mbalimbali vya habari vikiripoti tukio hilo kwa namna ya pekee ambapo katika kuhakikisha taarifa zinasambaa duniani kote mitandao mingi ya kimataifa imerusha habari hii wakiziandikia headlines mbalimbali lakini iliyoonesha kusikitishwa na tukio hilo.
ALJAZEERA
DAILY NATION
REUTERS
ABC NEWS
NEW VISION
JEUNE AFRIQUE
FOX NEWS WORLD
Maagizo ya Waziri Nchemba baada ya Lissu kupigwa risasi
Polisi na RC Dodoma waongelea Tundu Lissu kupigwa risasi
Na ayo tv
Comments
Post a Comment