Tottenham yaichapa Nicosia bao 3-0

Totten ham



Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionTotten ham yaichapa Nicosia bao 3-0-Uefa

Michuano ya klabu bingwa Ulaya (Uefa Champions League) hatua ya makundi imepigwa usiku wa kuamkia leo jumatano kwa mechi kadhaa hatua ya Makundi.
Katika mechi za Kundi E - Sevila wamechomoza na ushindi wa 3-0 dhidi ya Maribor, Spartak Moscow wametoshana nguvu na Liverpool kwa sare ya bao 1-1, Kundi F- Manchester City wameshinda dhidi ya Shakatar Donestsk bao 2-0 .
Sc Napoli imeshinda bao 3-1 baina ya Feyenoord, Kundi G- Besiktas imeshinda bao 2-0 dhidi ya Rasen Ball sports, Monaco imechapwa 3-0 na Fc Porto, Apoel Nicosia imechapwa bao 3-0 na Tottenham Hotspur, na Borussia Dortmund imefungwa na Real Madrid bao 3-1.
Michuano hiyo inaendelea tena hii leo jumatano ambapo kundi A - Basel inaikabili Benfica, CSKA Moscow dhidi ya Manchester United, Kundi B- Anderlecht wanacheza na Celtic, PSG dhidi ya Bayern Munich, Kundi C - Qarabag dhidi ya As Roma , Atletico Madrid ni wenyeji wa Chelsea. Kundi D - Juventus wanamenyana na Olympiacos, Sporting wanakabiliwa na Barcelona.

Comments

Popular posts from this blog

Jifunze Jinsi ya kutengeneza sabuni ya Unga na ya maji

Mkataba wa Aishi Manura wavuja ukionyesha kujiunga na simba Simba

Antoine Griezmann: Nyota wa Atletico Madrid aomba radhi baada ya kujifanya mweusi