Anthony Joshua: Mwaka 2018 utaanza vizuri kwangu

Antony Joshua akiwa na baba yake baada ya kumchapa Carlos Takam



Image captionAntony Joshua akiwa na baba yake baada ya kumchapa Carlos Takam

Bondia Anthony Joshua amesema upo uwezekano wa mwaka 2018 kuanza vizuri baada kumaliza 2017 kwa kumchapa Carlos Takam.
Joshua bingwa wa uzito wa juu wa taji la WBA na IBF aliendeleza ushindi wake alioupata mwezi April dhidi ya Wladimir Klitschko kwa kumchapa Takam ndani ya raundi 10 mjini Cardiff.


Mwamuzi alimaliza mchezo huo baada ya kuona Takam akishambuliwa kwa makonde mfululizo
Image captionMwamuzi alimaliza mchezo huo baada ya kuona Takam akishambuliwa kwa makonde mfululizo

Mdhamini wake Eddie Hearn amesema kuna uwezekano akachauana na Deontay Wilder huku kocha wake Rob McCracken akimtaja Joseph Parker kuwa anafaa zaidi.
Antony Joshua amekuwa miongoni mwa wanamichezo wanaovutia zaidi kwa siku za karibuni, huku akiweka rekodi ya kushinda kwa asilimia mia moja kwenye michuano yake yote.

Comments

Popular posts from this blog

GOR MAHIA MABINGWA WA SPORTPESA SUPER CUP 2017, SASA KUKIPIGA NA EVERTON JULAI 13

Marekani na Korea Kusini wafanya mazoezi ya pamoja ya jeshi

UKWELI KUHUSU MZEE MAJUTO, NA TETESI ZA KUFA