Polisi walivyokamata watu leo Kariakoo… mtaa kwa mtaa




Ni Habari kutoka Kariakoo Dar es salaam ambako watu mbalimbali wamekamatwa na Polisi baada ya kukutwa na makosa ambayo yalishatangazwa hapo awali kupitia vyombo vya habari.
Mamlaka ya mapato Tanzania TRA kwa kushirikiana na Wakala wao kampuni ya Msama Auction Mart wanaendelea na ukaguzi maalum mtaa kwa mtaa Dar es Salaam kukagua na kuhakikisha CD zote zinazouzwa zina sticker ya TRA ili kukusanya mapato.
Leo November 16 kwa kushitukiza ukaguzi umepita duka kwa duka ukiongozwa na Mkurugenzi wa Msama Auction Mart Alex Msama na kukamata wanaoingiza nyimbo kwenye simu, CD zisizokuwa na stika na waliokutwa wote wamekiuka masharti hayo hivyo wamechuliwa Polisi, tazama hii video hapa chini kuona ilivyokua

Comments

Popular posts from this blog

Jifunze Jinsi ya kutengeneza sabuni ya Unga na ya maji

Mkataba wa Aishi Manura wavuja ukionyesha kujiunga na simba Simba

Antoine Griezmann: Nyota wa Atletico Madrid aomba radhi baada ya kujifanya mweusi