Polisi India wafunga akaunti ya mtuhumiwa wa mauaji

Shambhu Lal katika picha inayomuonyesha akimnyanyasa mtu huyo


Image captionShambhu Lal katika picha inayomuonyesha akimnyanyasa mtu huyo

Polisi katika jimbo la Rajasthan nchini India wamefunga akaunti ya benki ya mtu anayehusishwa na mauaji ya muislamu mmoja.
Inasema zaidi ya dola elfu nne zilishachangiwa kwenye akaunti yake kabla ya kufungiwa.
Shambhu Lal muumini wa dhehebu la Hindu anatuhumiwa kumuua mtu huyo na kutuma picha katika mitandao ya kijamii.
Polisi inasema zaidi ya watu mia saba wamechangia akaunti yake.
Video hiyo inamuonyesha Shambhu Lal akimlazimisha mtu huyo kuingia dhehebu la Kihindu kabla ya baadae kutuma picha akiwa amefariki.

Comments

Popular posts from this blog

Jifunze Jinsi ya kutengeneza sabuni ya Unga na ya maji

Mkataba wa Aishi Manura wavuja ukionyesha kujiunga na simba Simba

Antoine Griezmann: Nyota wa Atletico Madrid aomba radhi baada ya kujifanya mweusi