Tangazo la Uhuru kufuatia mauaji ya kinyama ya Msando lililowasha moto mitandaoni
Wananchi wamekasirishwa na Rais Uhuru Kenyatta baada ya kutoa taarifa kuhusiana na mauaji ya meneja wa habari, mawasiliano na teknolojia wa IEBC Chris Msando
-Uhuru aliomboleza kifo cha Msando na kile cha Carole Ngumbu, ambaye alikuwa na meneja huyo wakati wa kifo chake
Rais Uhuru Kenyatta ameshambuliwa na wananchi baada ya kuomboleza kifo cha meneja wa habari, mawasiliano na teknolojia wa IEBC Chris Msando na Carole Ngumbu, ambaye alikuwa na meneja huyo wakati wa kifo chake.
Uhuru aliandika kama ifuatavyo kwenye ukurasa wake wa tweeter,
Uhuru aliandika kama ifuatavyo kwenye ukurasa wake wa tweeter,
Comments
Post a Comment