Baada ya assist Champions League staa wa Bundesliga mwenye asili ya Tanzania kapewa mkataba mpya
Staa wa RB Leipzig ya Ujerumani Yusuph Poulsen leo September 14 2017 amefanikiwa kuongeza mkataba wa miaka minne na club yake ya RB Leipzig ikiwa ni siku moja imepita toka aisaidie timu yake kuvuna point moja katika sare ya 1-1 ya mchezo wao wa kwanza wa Makundi wa UEFA Champions League dhidi ya Monaco, Poulsen ndio alitoa pasi ya goli kwa Forsiberg dakika ya 33.
EXCLUSIVE: Staa wa Bundesliga mwenye asili ya Tanzania kwanini anachezea Denmark na sio Tanzania
Comments
Post a Comment