Diamond kamtibua tena Zari?? hii comment imeibua mapya


Siku ya September 14, 2017 mpiga picha maarufu wa Diamond PlatnumzKifesi alipost picha ya boss wake Diamond kwenye ukurasa wake wa instagram Picha ambayo alimpiga yeye, baada ya post hiyo mzazi mwenza na mpenzi wa Diamond Platnumz, Zari the Boss Lady akakoment kwenye post hiyo kwa kuweka emoji ya kidole cha kati.
Baada ya Zari kukomenti hivyo mashabiki wakahusisha hilo na swala ambalo Diamond anadaiwa ya kuwa yupo Zanzibar na mshindi wa Big Brother mwaka 2013 anayetokea Namibia, Dilish Methew huku ikisemekana wawili hao wanatoka kimapenzi kitu kilichomfanya Zari akomenti vile kwenye picha ya kifesi aliyompost Diamond.
Bonyeza PLAY hapa chini kusikia taarifa Kamili
Ni kweli Diamond anatoka kimapenzi na mshindi wa BBA?
NA.Ayo Tv


Comments

Popular posts from this blog

Jifunze Jinsi ya kutengeneza sabuni ya Unga na ya maji

Mkataba wa Aishi Manura wavuja ukionyesha kujiunga na simba Simba

Antoine Griezmann: Nyota wa Atletico Madrid aomba radhi baada ya kujifanya mweusi