NOMA !! Mapokezi ya Diamond Platnumz Mozambique
Mwimbaji wa Bongofleva Diamond Platnumz alikwenda Mozambique kwa ajili ya kutumbuiza kama kawaida ambapo hii video inaonyesha sehemu tu ya mapokezi yake kuanzia alipowasili uwanja wa ndege.
Na Ayo Tv
Comments
Post a Comment