Mzee Kikwete aandika kuhusu starehe ya kustaafu “kujifanyia mambo yako mwenyewe”

Jakaya Mrisho Kikwete ni Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambapo sasa ni zaidi ya miaka miwili toka amalize miaka yake kumi ya Urais.
Inaonekana J.K anapafurahia zaidi uraiani ambapo hii sio mara ya kwanza kwake kupost picha zake akiwa kwenye shughuli za kiraia mtaani.
Nyingine ambayo ameiandika saa kadhaa zilizopita baada ya kuweka hizi picha ni >>> “Starehe ya kustaafu na kubakia kuwa raia mashuhuri ni kuweza kujifanyia mambo yako mwenyewe ikiwemo manunuzi ya mahitaji ya nyumbani”

Comments

Popular posts from this blog

GOR MAHIA MABINGWA WA SPORTPESA SUPER CUP 2017, SASA KUKIPIGA NA EVERTON JULAI 13

Marekani na Korea Kusini wafanya mazoezi ya pamoja ya jeshi

UKWELI KUHUSU MZEE MAJUTO, NA TETESI ZA KUFA