Chelsea yatoka sare ya 0-0 na Arsenal

David Luiz sent off


Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionIt was David Luiz's first red card in the Premier League in 119 appearances

Arsedal walipatapa pointi yao kwanza katika uwanja wa Chelsea, baada ya kuonyesha mechi safi ambayo nusura iwape ushindi dhidi ya mabingwa hao wa Premier League, ambao walimaliza mechi na wachazaji 10.
Hii inamuacha meneja Arsene Wenger na matumaini kidogo baada ya kichapo cha mabao 4-0 walipocheza na Liverpool mwezi uliopita.
Pedro alipoteza fursa nzuri ya Chelsea katika kipindi cha kwanza ambapo jitihada zake zilizimwa na kipa Peter Cech.
Katika kipindi cha pili Chelsea wakipata pigo pale David Luiz alilishwa kadi nyekundua alipomchezea vibaya Sead Kolasinac.
Wenger anasema kuwa kipigo cha mabao 4-0 walichopewa na Liverpool, matokeo yalichochea lawama kali dhdi yake na hata kwa wachezaji ilikuwa na ajali.

Comments

Popular posts from this blog

Jifunze Jinsi ya kutengeneza sabuni ya Unga na ya maji

Mkataba wa Aishi Manura wavuja ukionyesha kujiunga na simba Simba

Antoine Griezmann: Nyota wa Atletico Madrid aomba radhi baada ya kujifanya mweusi