Saida karoli akonga nyoyo za mashabiki wake waliohudhulia katika tamasha la fiesta mkoani kahama.
Msanii mkongwe wa muziki wa asili nchini Saida Karoli alikuwa ni miongoni mwa wasanii waliopata nafasi ya ku-perform kwenye tamasha la Fiesta Kahama, itazame show hiyo kwa kubonyeza Play hapa chini..
Comments
Post a Comment