Hasheem Thabit kujiunga na Yokohama

Mchezaji wa zamani wa Timu ya OKC Thunder ya ligi kuu ya Marekani (NBA) Mtanzania Hasheem Thabi


Haki miliki ya pichaGOOGLE
Image captionMchezaji wa zamani wa Timu ya OKC Thunder ya ligi kuu ya Marekani (NBA) Mtanzania Hasheem Thabi

Mchezaji wa zamani wa Timu ya OKC Thunder ya ligi kuu ya Marekani (NBA) Mtanzania Hasheem Thabit kwa sasa amejiunga na Timu ya Yokohama B Corsairs ya Ligi kuu ya kikapu ya Japan, kwa dau ambalo mpaka sasa halijawekwa wazi, na tayari Thabit amekabidhiwa Jezi yenye namba 34 katika timu hiyo. 
Ligi ya kikapu ya Japan B-League inatarajiwa kuanza kesho ijumaa wiki hii, na Hashee yupo katika hatua za mwisho kukamilisha usajili.

Comments

Popular posts from this blog

Jifunze Jinsi ya kutengeneza sabuni ya Unga na ya maji

Mkataba wa Aishi Manura wavuja ukionyesha kujiunga na simba Simba

Antoine Griezmann: Nyota wa Atletico Madrid aomba radhi baada ya kujifanya mweusi