Kyle Edmund achapwa na Dolnadson -Michuano ya Chengdu

Kyle Edmund


Image captionKyle Edmund

Michuano ya Chengdu, China, Kyle Edmund ameshindwa kutamba katika michuano hiyo baada ya kufungwa na mpinzani wake Jared Donaldson katika raundi ya pili ya mchezo kwa seti 6-0, 1-6, 6-4 .
Awali Edmund alimfunga Bernard Tomic katika mzunguko wa kwanza kabla ya kuvaana na Donaldson.
Michuano hii ya Chengdu inaendelea tena hii leo kwa michezo mbalimbali, Andrey Rublev anacheza na Yen-Hsun Lu, Marcos Baghdatis dhidi ya Peter Gojowczyk, Taylor Fritz na Nikoloz Basilashvili, Dominic Thiem anachuana na Guido Pella,Santiago Gonzalez dhidi ya Nenad Zimonjic,Treat Huey acheza na Fabrice Marti na Julio Peralta dhidi ya Michael Venus.
Marcus Daniell anamkabili Marcelo Demoliner, Jonathan Erlichdhidi ya Aisam-Ul-Haq Qureshina Leonardo Mayer atachuana na Albert Ramos, Yen-Hsun Lu anachuana na Divij Sharan, Dominic Inglot atakimbizana na Daniel Nestor.

Comments

Popular posts from this blog

GOR MAHIA MABINGWA WA SPORTPESA SUPER CUP 2017, SASA KUKIPIGA NA EVERTON JULAI 13

Marekani na Korea Kusini wafanya mazoezi ya pamoja ya jeshi

UKWELI KUHUSU MZEE MAJUTO, NA TETESI ZA KUFA