Ally kiba kawajibu mnaosema kaiba wimbo wa ‘SEDUCE ME’


Usiku wa September 9, 2017 Fiesta ilifanyika kwa mara ya kwanza jijini Arusha ambapo wasanii mbalimbali walitumbuiza kwenye stage na miongoni mwao ni msanii anayefanya muziki wa bongofleva Alikiba ambaye alipata nafasi ya kuzungumza na kituo cha Ayo Tv na kuelezea kuhusu kudaiwa kuiba wimbo wa ‘Seduce me’.


Alikiba amesema kuwa sikweli kuhusu kudaiwa kuiba wimbo huo bali ni wimbo wake na hana tabia za kuchukua wimbo wa mtu japo amedai wimbo wake kwa sasa unafanya vizuri kwa kuwa ni mzuri.
Bonyeza PLAY hapa chini kumsikia Alikiba akizungumza kila kitu


Comments

Popular posts from this blog

GOR MAHIA MABINGWA WA SPORTPESA SUPER CUP 2017, SASA KUKIPIGA NA EVERTON JULAI 13

Marekani na Korea Kusini wafanya mazoezi ya pamoja ya jeshi

UKWELI KUHUSU MZEE MAJUTO, NA TETESI ZA KUFA