“Ukibisha kapambane na kulipa mishahara wachezaji wako”-Haji Manara






Mkuu wa idara ya habari na mawasiliano wa club ya Simba Haji Manara ni moja kati ya viongozi na wapenzi wa soka wanaojiamini sana na mara nyingi amekuwa akipenda kuandika post za utani kwa wapinzani wao Yanga.
Haji Manara usiku huu kutoka katika instagram account yae ameandika ujumbe akiwa kapost picha ya kikosi  cha Simba kuwa kwa sasa Simba ndio Brand maarufu zaidi nchini kuliko zote, unaweza andika comment yako hapo chini.

Comments

Popular posts from this blog

Jifunze Jinsi ya kutengeneza sabuni ya Unga na ya maji

Jinsi ya kutengeneza SABUNI ya kipande YA KUGANDISHA

Alexander Lacazette Shujaa wa Arsenal