“Walitishia kutupiga risasi wakachukuwa ng’ombe wetu” – Wanakijiji

Wanikijiji wa Ololosokowani katika Wilaya la Ngorongoro, akiwemo Mwenyekiti wa Kijiji Kerry Dukanyi wameiomba Serikali kuingilia kati zoezi la mnada wa ng’ombe 630 bila kufuata taratibu wakidaiwa kuingia kwenye hifadhi.
Baadhi ya wanakijiji hao wameeleza kusikitishwa na kitendo kilichofanywa kukusanya mifugo yao ambayo wanasema ilikuwa ndani ya mipaka ya kijiji kisha kupigwa mnada huku wengine wakisema kabla ya kuchukuliwa kwa ng’ombe hao walitishiwa kupigwa risasi.

Comments

Popular posts from this blog

Jifunze Jinsi ya kutengeneza sabuni ya Unga na ya maji

Mkataba wa Aishi Manura wavuja ukionyesha kujiunga na simba Simba

Antoine Griezmann: Nyota wa Atletico Madrid aomba radhi baada ya kujifanya mweusi