FIESTA MWANZA: Alikiba alivyoliamsha live na wimbo wa ‘Mwana’ (+video)
Msanii Alikiba alipata nafasi ya kuperform kwenye stage ya fiesta jijini Mwanza usiku wa September 23, 2017 na wimbo wa kwanza kuimba ulikuwa wimbo wa ‘Mwana‘, Bonyeza PLAY hapa chini kutazama video hiyo.
Comments
Post a Comment