Wanamichezo Marekani wavutana na rais wao kuhusu wimbo wa taifa

Baltimore Ravens


Haki miliki ya pichaREUTERS
Image captionBaltimore Ravens

Wachezaji wa Timu za Baltimore Ravens na Jacksonville Jaguars za marekani wameonyesha kutofurahia utofauti uliopo kati ya Rais Dolnald Trump na wanamichezo,kwa kushindwa kuheshimu wimbo wa taifa wa marekani ukipigwa katika uwanja wa Wimbley ikiwa ni inshara ya kuonyesha Umoja wa kumpinga Trump dhidi ya wanamichezo.
Shahid Khan kiongozi wa Timu ya JacksonVille Jaguars aliungana na wachezaji kupinga yanayofanywa na Rais Trump.

MarekaniHaki miliki ya pichaREUTERS
Image captionTimu ya Jacksonville Jaguars ya marekani

Trump ameandika ujumbe kwenye mtandao wa kijamii kulaani walichokifanya wachezaji kukaidi kuheshimu wimbo wa taifa.

twitter
Image captionAlichokiandika Rais Trump katika mtandao wa kijamii


    Comments

    Popular posts from this blog

    Jifunze Jinsi ya kutengeneza sabuni ya Unga na ya maji

    Mkataba wa Aishi Manura wavuja ukionyesha kujiunga na simba Simba

    Antoine Griezmann: Nyota wa Atletico Madrid aomba radhi baada ya kujifanya mweusi