AJALI YA LORI LA MAFUTA DAR YASABABISHA KUTEKETEA KWA MALI NYINGI ZA WATU NA WENGINE KUPOTEZA MAISHA. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki (katikati) na Mkuu wa Wilaya ya Temeke Sophia Mjema wakimsikiliza miliki wa Nyumba ya kulala wageni United State na bar, Laurent Kasiga iliyopo Mbagala Rangi tatu, Dar es Salaam ambayo iliteketea kwa moto uliotokana na roli la mafuta lililopinduka na kuwaka moto wakati vijana wakiiba mafuta. Mkuu wa Moa akikagua Nyumba hiyo ya kulala wageni iliyokuwa na vyumba 32 na sehemu ya vinywaji.(bar). Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akiangalia mabaki ya tenki la lori la mauta lililosababisha moto huo. Lori hilo lilivyoteketea kwa moto uliosababishwa na moja kati ya wananchi waliokuwa wakichukua mafuta ambaye alifaliki baada ya moto huo kumzingila. Moja kati ya duka la vifaa vya pikipiki lililo teketea kwa moto. Wahanga wa jana hili la moto waliokuwa wakifanya biashara ya...
Posts
- Get link
- X
- Other Apps
KUMBUKUMBU YA MIAKA 15 TANGU KIFO CHA MWALIMU NYERERE Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. WATANZANIA leo tunaadhimisha kumbukumbu ya miaka 15 tangu kufariki kwa muasisi na Rais wa kwanza wa Tanzania, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Mwalimu Nyerere alifariki dunia Oktoba 14, 1999 akiwa nchini Uingereza alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na maradhi ya kansa ya damu. Akizindua rasmi maadhimisho ya kumbukumbu hizo jana, Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki, Kate Kamba alisema kitaifa maadhimisho hayo yatafanyika mkoani Tabora.
hifadhi nzuuuri ya wanyama iliyopo mkoa wa iringa ya RUAHA NATIONAL PARK.
- Get link
- X
- Other Apps
Ni aina ya myama anae patikana kwenye hifadhi ya taifa iliyo mkoa wa iringa ya RUAHA. Pundamilia ni wanyama wenye kuvutia kuanzia rangi yake na umbo lake,mnyama huyu hufananishwa na farasi lakini tofauti yake huyu anamistari mwilini mwake. TWIGA ni mnyama anaepatikana kwenye hifadhi ya ruaha,mnyama huyu anaheshimiwa sana kutokana na uhadimu wake na kwasababu ya kuvutia sana watarihi kutokana na umbo lake lenye shinga ndefu. PUNDAMILIA.
Mijusi ya ajabu na rangi tofauti.
kenge wakubwa wenye maumbo kama ya mamba wanapatikana iringa. NYUMBU ni wanyama wanaopenda kutembe kwa makundi makubwa sana,na pindi wanapo safiri hutembea kwa kujipanga mistari. SIMBA ni mnyama anae ogopeka na baadhi ya wanyama msituni,kwasababu chakula chake kikubwa ni nyama,sababu iliyowafanya wanyama wenyine kuwaogopa simba. TEMBO ni myama mwenye umbo k...
vijue vivutio vya mkoa wa iringa
- Get link
- X
- Other Apps
vyura waajabu wanaopatikana kwenye bwawa la mtera iringa. fuvu la mkwawa lililopo mkoani iringa katika sehemu moja ya kihistoria iitwayo KARENGA. pia kunasehemu kama isimila ambako kuna miamba mizuri na mikubwa yenye kuvutia. iringa isimila. maporomoko ya maji kimani mkoani iringa. iringa mufindi kwenye misitu mikubwa ya mbao. hii ni sehemu ambako segimba na mamayake na mkwawa walijitumbukiza wakati wa ukoloni.
ijue iringa
- Get link
- X
- Other Apps
iringa posta iringa mjini yenye kuvutia kijani chenye kuvutia ukiutizama mkoa wa iringa unapendeza. kuna mambo mengi yanautangaza mkoa wa iringa likiwemo jiwe kuuuuubwa sana ambalo ukiwa kileleni unauona mkoa mzima wa iringa.JIWE GANGILONGA. moja kati ya makanisa ya kikoloni likiwa linaonekana kwa mbaaali.kanisa la konsolatha iringa mjini. soko kuu la mkoa wa iringa. mtemi wa kabira la wahehe MKWAWA.