Ufaransa mwenyeji wa Olimpiki 2024



Ulaya


Haki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionRaisi wa kamati ya Olimpiki Thomas Bach aliyeko katikati akitangaza wenyeji wa michuano hiyo kwa mwaka 2024 na 2028 akiwa na meya wa mji wa Paris Anne Hidalgo aliyeko kushoto na meya wa mji wa Los Angeles Eric Garcetti aliyeko kulia

Kamati ya Olimpiki ya Kimataifa imechagua mji mkuu wa ufaransa, Paris, kuwa mwenyeji wa michuano ya Olimpiki mwaka 2024, na kuutunuku mji wa Los Angeles nchini Marekani kuwa mwenyeji wa michuano hiyo mwaka 2028 .

MarekaniHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionmjini Los Angels

Mwezi uliopita, kamati hiyo ilifanya maamuzi ya kuwa Olimpiki mbili za majira ya joto zitatolewa kwa wakati mmoja, baada ya miji kadhaa kuahirisha zabuni zao kutokana na wasiwasi wao kuhusu ukubwa, gharama, na utata wa kuandaa moja ya matukio makubwa kama hayo ya michezo duniani.

UfaransaHaki miliki ya pichaGETTY IMAGES
Image captionEifel Tower

Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema kuwa uchaguzi wa mji wa Paris kuwa mwenyeji wa michuano hiyo ni ishara kwamba ya kutambuliwa kwa mji na nchi kitu ambacho kila Mfaransa anapaswa kusherehekea.

Comments

Popular posts from this blog

Jifunze Jinsi ya kutengeneza sabuni ya Unga na ya maji

Mkataba wa Aishi Manura wavuja ukionyesha kujiunga na simba Simba

Antoine Griezmann: Nyota wa Atletico Madrid aomba radhi baada ya kujifanya mweusi