Ramaphosa ahaidi kuimarisha uchumi wa Afrika Kusini

Cyril Ramaphosa amekuwa kiongozi mkuu wa ANC baada ya kuwashinda wapinzani wake akiwemo Nkosazana Dlamini Zuma


Image captionCyril Ramaphosa amekuwa kiongozi mkuu wa ANC baada ya kuwashinda wapinzani wake akiwemo Nkosazana Dlamini Zuma

Kiongozi mpya wa chama cha ANC cha Afrika Kusini Cyril Ramaphosa amefunga rasmi mkutano wa chama hicho akiahidi kufanyia kazi sera za kuimarisha uchumi wa nchi hiyo.
Akizungumza katika kikao kilichomalizika usiku wa manane, Ramaphosa amesema kupambana na rushwa sambamba na umaskini ni kipaumbele cha kwanza kwa chama chake.

Ramaphosa na Zuma awali walikua marafiki wa karibu
Image captionRamaphosa na Zuma awali walikua marafiki wa karibu

Amesema kuwa kikao cha kamati kuu kimeahisi pia kurudisha ardhi muhimu ambazo zilikua mikononi mwa wasiohitajika ikiwa ni lengo la kukuza sekta ya kilimo.
Amemsifu mpinzani wake wa kaziribu ayembwaga kwenye kinyang'anyiro cha uenyekiti wa ANC Nkosazana Dlamini Zuma kuwa ni jasiri na mchapa kazi.

Comments

Popular posts from this blog

GOR MAHIA MABINGWA WA SPORTPESA SUPER CUP 2017, SASA KUKIPIGA NA EVERTON JULAI 13

Marekani na Korea Kusini wafanya mazoezi ya pamoja ya jeshi

UKWELI KUHUSU MZEE MAJUTO, NA TETESI ZA KUFA