Posts

Rais wa zamani wa Georgia Mikheil Saakashvili aingia Ukrain kwa nguvu

Image
Haki miliki ya picha REUTERS Image caption Rais wa zamani wa Georgia Mikheil Saakashvili (katikati)aingia Ukrain kwa nguvu Mikheil Saakashvili ambaye ni rais wa zamani wa Georgia na pia gavana wa zamani wa jimbo nchini Ukrain amevuka na kuingia nchini Ukrain aisaidiwa na mamia ya wafuasi wake. Bwana Saakashvili alisema kuwa alisukumwa bila kutarajia kwenye mpaka na umati wa watu waliokuwa wamekasirika kuwa mpaka ulikuwa umefungwa. "Walitusukuma na kutebeba hadi nchini Ukarain," alesema Saakashvili. Maafisa nchini Ukrain wanasema kuwa aliiangia nchini humo kinyume na sheria na walinzi 15 na mpaka walijeruhiwa. Kulikuwa na mivurutano kwenye mpaka kati ya wafuasi wa bwana Saakashvili na maafisa wa mpaka. Haki miliki ya picha AFP Image caption Mikheil Saakashvili na waziri mkuu wa zamani Yulia Tymoshenko Bwana Saakashvili ambaye awali alikuwa ni raia wa Georgia na kisha raia wa Ukrain kwa sasa hana uraia wa nchi yoyote baada ya uraia wake wa Ukrain kufutwa na m...

Kimbunga Irma chaingia ardhi ya Marekani

Image
Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Image caption An overturned vehicle on a flooded street in Miami Kimbunga Irma kimepiga jimbo la Florida nchini Marekamani Irma kwanza kabisa kilipiga kisiwa cha Marco magharibi mwa pwani mwa Florida, kikiwa na upepo wa kasi ya kilomita 192 kwa saa lakini tangu kwa sasa kimeshuka kutoka kiwango cha tatu hadi cha pili. Haki miliki ya picha AFP Zaidi ya nyumba milioni 3.4 katika jimbo la Florida hazina nguvu za umeme na sehemu za mji wa Miami zimefurika maji. Vifo vitatu vinavyotokana na kimbunga hicho vimeripotiwa wakati Irma kikielekea sehemu za kaskazini. Kituo cha vimbunga cha Marekani kinasema Irma kimesababisha upepo sehemu tofauti za katikati mwa Florida. Haki miliki ya picha REUTERS Mapema kimbunga hicho kilipiga maeneo yanayozunguka mji wa Fort Myers. Irma tayari kimeharibu sehemu za Caribbean na kuya takriban watu 28. Watu milioni 6.3 huko Florida wameambiwa wahame. Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Image caption A ve...

“Ukibisha kapambane na kulipa mishahara wachezaji wako”-Haji Manara

Image
Mkuu wa  idara  ya habari na mawasiliano wa club ya Simba Haji Manara ni moja kati ya viongozi na wapenzi wa soka wanaojiamini sana na mara nyingi amekuwa akipenda kuandika post za utani kwa wapinzani wao Yanga. Haji Manara usiku huu kutoka katika instagram account yae ameandika ujumbe akiwa kapost picha ya kikosi  cha Simba kuwa kwa sasa Simba ndio Brand maarufu zaidi nchini kuliko zote, unaweza andika comment yako hapo chini.

Ally kiba kawajibu mnaosema kaiba wimbo wa ‘SEDUCE ME’

Image
Usiku wa September 9, 2017 Fiesta ilifanyika kwa mara ya kwanza jijini Arusha ambapo wasanii mbalimbali walitumbuiza kwenye stage na miongoni mwao ni msanii anayefanya muziki wa bongofleva Alikiba ambaye alipata nafasi ya kuzungumza na kituo cha Ayo Tv na kuelezea kuhusu kudaiwa kuiba wimbo wa   ‘Seduce me’ . Alikiba amesema kuwa sikweli kuhusu kudaiwa kuiba wimbo huo bali ni wimbo wake na hana tabia za kuchukua wimbo wa mtu japo amedai wimbo wake kwa sasa unafanya vizuri kwa kuwa ni mzuri. Bonyeza  PLAY  hapa chini kumsikia  Alikiba  akizungumza kila kitu chanzo AYO TV

Wapiganaji wa Rohingya watangaza kusitisha mapigano, Myanmar

Image
Haki miliki ya picha EPA Image caption Wa Rohingya wanaishutumu jeshi la Myanmar kwa kuteketeza vijiji vyao - Lakini utawala nchini Myanmar, unasema wanajeshi wake wanakabiliana na "magaidi" Katika taarifa nyingine Asubuhi hii ya leo, waasi wa kiislamu wa kabila la Rohingya nchini Myanmar wametangaza upande mmoja makubaliano ya kusitisha mapigano leo Jumapili, ili kujaribu kupunguza mgogoro wa kibinadamu magharibi mwa taifa hilo. Mashambulio dhidi ya jeshi la taifa hilo yanayotekelezwa wapiganaji wa Arakan Rohingya Salvation Army, yalisababisha mapigano makali ya wiki mbili, ambapo zaidi ya watu laki tatu wa jamii ndogo ya Warohingya wamekimbilia nchi jirani la Bangladesh.  Image caption Ramani ya Myanmar Kundi hilo la waasi, yameiomba jeshi la nchi hiyo pia kuitisha wito wa kusitisha mapigano, huku likiomba mashirika ya utoaaji misaada ya kibinadamu kurejelea kazi zao za kusambaza misaada. Waziri mmoja wa serikali ya Myanmar ameiambia BBC kuwa, wengi wa Wa-Rohi...

Kimbunga Irma chakaribia Florida

Image
Haki miliki ya picha GETTY IMAGES Image caption Upepo mkali wa kimbunga Irma kimeanza kushuhudiwa Florida Nguvu ya upepo mkali unaondamana na kimbunga, kimeanza kugonga visiwa kadhaa kusini mwa jimbo la Florida nchini Marekani, huku kimbunga kikiacha uharibifu mkubwa katika visiwa vilivyoko kwenye bahari ya Atlantic huko Caribbean, kuelekea Marekani. Kimbunga Irma, kinatarajiwa kugonga maeneo hayo, baadaye leo Jumapili. Viwango vya maji tayari vimeanza kuogezeka katika maeneo ya pwani ya Florida, eneo ambalo linatarajia kimbunga kikubwa kuwasili. Taharuki na hatma ya baadaye ya mji wa Tampa, ambao unakabiliana ana kwa ana na njia inakopitia kimbunga hicho, haijulikani. Image caption Ramani ya mwendo wa Kimbunga Irma Tampa inasemekana kuwa ni mji ulioko katika mazingira magumu zaidi nchini Marekani, hasa kuhusiana na hatari ya kugongwa mara kwa mara na vimbunga. Zaidi ya watu milioni 6 huko Florida wanaondolewa majumbani mwao- robo tatu ya idadi nzima ya watu wa jimbo ...

Madaktari watoa meno 7 kutoka kwa mtoto wa mwezi mmoja India

Image
Image caption Madaktai watoa meno 7 kutoka kwa mtoto wa mwezi mmoja India Madaktari kwenye hospitali moja iliyo jimbo la magharibi mwa Inida ya Gujarat wamefanikiwa kutoa meno saba kutoka kwa mtoto wa mwezi mmoja. "Kwa sasa mtoto yuko sawa," daktari ambaye alifanya upasuaji huo Meet Ramatri alisema. Alisema kuwa upasuiji huo ulifanya kwa njia mbili. Kwanza walitoa meno manne, na baadaye matatu. Meno ya mtoto huyo yaligundulwia siku chache baada ya kuzaliwa. Wazazi wake walimpeleka kwa daktari wakati alipata matatizo ya kunyonya, Image caption Madaktai watoa meno 7 kutoka kwa mtoto wa mwezi mmoja India Baada ya kumfanyia uchunguzi dakari aligundua nyama nyeupe na kumtuma kwa daktari Ramatri. "Wakati nilimfanyia uchunguzi aligundua meno saba," Dr Ramatri aliambia BBC. Kisha alilazimika kutoa meno hayo kwa njia ya upasuajia. "Sasa mtoto huyo anaweza kunyonya," dakatari alisema, lakini aliongeza kuwa ni vigumu kujua ikiwa upasuaji huo ...